
Vijiji 52 Mvomero kunufaika na mradi wa LTIP
Vijiji takribani 52 katika Wilaya ya Mvomero Mkoani Morogoro vitanufaika na Mradi waUboreshaji Usalama wa Milki za Ardhi (LTIP) kwa kuandaliwa mipango ya matumizi yaardhi ya vijiji. Hayo yamebainishwa na Mkuu wa Wilaya ya Mvomero Bi. Judith Nguli wakati wa kujadiliutekelezaji wa Mradi huo katika ukumbi wa Halmashauri ya Mvomero, tarehe 22 Aprili 2024 Mkoani…