Manispaa ya Temeke yatumia Mamilioni ya fedha bila kufuata mifumo ya kudhibitishwa ubora

*Wafanya manunuzi nje ya mfumo zaidi ya sh.Bilioni Mbili Na Chalila Kibuda ,Michuzi Manispaa ya Temeke ya katika ripoti ya CAG iliweza kutumia kiasi cha sh.155,839,175 Kwa vifaa ambavyo havijavidhibishwa ubora. Hayo yamebainika katika Ripoti ya CAG ambapo ni mlolongo wa Halmashauri nyingi kufanya hivyo ikiwemo Manispaa ya Temeke Ripoti hiyo imesema kufanya matumizi ya…

Read More

KAMATI YA BUNGE UGANDA, YAVUTIWA NA MIUNDOMBINU YA UDOM

Kamati ya Hesabu za Serikali za Mitaa, ya Bunge la Uganda imeipongeza Serikali ya Tanzania kwa uwekezaji mkubwa iliyofanya katika ujenzi wa Chuo Kikuu cha Dodoma, pamoja na kusifu Amani na Utulivu mkubwa uliopo, kwa kuzingatia idadi kubwa ya wanafunzi wanaosoma chuoni hapo. Pongezi hizo zimetolewa na Mwenyekiti wa Kamati hiyo Mhe. Gilbert Olanya, wa…

Read More

Wataalamu wa maabara wapaza sauti Zanzibar

Unguja. Utaratibu ulioanzishwa na Serikali wa kuendesha huduma za maabara za afya kwa utaratibu wa ubia kupitia kampuni na mashirika binafsi kwenye hospitali, umeendelea kuibua wasiwasi kwa wataalamu na wameshauri uangaliwe upya. Mfumo huo ulianza kufanya kazi mwaka 2023 ambapo katika baadhi ya hospitali za Serikali huduma za maabara zinaendeshwa na kampuni binafsi, lengo likiwa…

Read More

SERIKALI KUTANGAZA RIPOTI YA SENSA YA WANYAMA NA UTALII KESHO

Na John Mapepele Kesho Serikali inakusudia kutangaza rasmi matokeo ya Sensa ya Wanyamapori na kuzindua taarifa ya Watalii wa Kimataifa walioitembelea Tanzania mwaka 2023 katika mkutano unaojumuisha wadau wa uhifadhi na utalii, utakaofanyika hoteli ya Gran Melia Jijini Arusha. Mkutano huo umeratibiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, ambapo Waziri mwenye dhamana na Wizara hiyo,…

Read More

Singida yalipa Mamilioni ya Fedha kwa stakabadhi bandia

*OR-TAMISEMI ,TRA zapewa ushauri na CAG Na Chalila Kibuda,Michuzi Blog Halmshauri ya Singida mkoani Singida yatumia malipo ya sh. Milioni 147.29 yaliyodhibitishwa na Stakabadhi Bandia ‘Fake’ Kwa Mujibu wa Ripoti ya Mkaguzi na Mdhibiti Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) CPA Charles Kichere pya Mwaka wa Fedha 2023/2023 ilisema kuwa katika ukaguzi alibaini kwa malipo…

Read More

UMASIKINI WADAU WA KUCHANGIA UHARIBIFU WA MAZINGIRA NCHINI

Na Mwandishi Wetu, Morogoro IMEELEZWA kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya umaskini na uharibifu wa mazingira hivyo ni muhimu wadau wa uhifadhi kuendelea kushirikiana na serikali katika kutekeleza miradi mbalimbali ya kiuchumi ili kupunguza uharibu wa mazingira. Kauli hiyo imetolewa na Mshauri wa Maliasili wa Mkoa wa Morogoro ambaye pia ni Ofisa Wanyamapori wa mkoa…

Read More