Mavunde: Bila utafiti hakuna mafanikio kwenye sekta ya madini
Dodoma. Serikali imesema, bila kuwekeza katika utafiti hakuna mafanikio yanayoweza kupatikana kwenye sekta ya madini na Taifa halitafaidika nayo. Kauli hiyo imetolewa leo Jumatatu Agosti 25, 2025 na Waziri wa Madini, Anthony Mavunde, wakati akiweka jiwe la msingi la ujenzi wa maabara ya kisasa ya uchunguzi wa sampuli za madini nchini ambalo linajengwa na Taasisi…