CBE kuwasaidia wajasiriamali kufikia ndoto zao

Na Mwandishi Wetu CHUO cha Elimu ya Biashara (CBE), kinakusudia kuanzisha mafunzo ya uanagenzi kwa wanafunzi wanaosoma shahada ya masuala ya benki, fedha, metrolojia na viwango, ambayo yatawawezesha kusoma huku wakifanyakazi. Akizungumza katika siku ya CBE taaluma na programu atamizi jijini Dar es Salaam Mkuu wa chuo hicho, Profesa Edda Lwoga, amesema lengo ni kuwawezesha…

Read More

Sheria ya Magereza yatajwa chanzo cha manyanyaso kwa wafungwa

Dar/Morogoro. Kauli iliyotolewa na Mkuu wa Jeshi la Magereza, Kamishna Jenerali, Mzee Nyamka kuhusu unyanyasaji wa wafungwa magerezani, imewaibua wadau wa haki za binadamu wakitaka Serikali iwajibike kuchukua hatua za haraka kwa kuwa mambo hayo yameshalalamikiwa sana. Wadau hao wakiwamo wanasheria, wameikosoa Sheria ya Magereza ya mwaka 1967 kuwa imepitwa na wakati na ndiyo chanzo…

Read More

Mabalozi wa Tanzania nje wanolewa chuo cha uongozi

Kibaha. Mabalozi wanaoiwakilisha Tanzania katika mataifa mbalimbali duniani wamekutana mjini Kibaha, mkoani Pwani kwa warsha maalumu inayolenga kuwakumbusha majukumu yao na matarajio ya Serikali kwenye maeneo yao ya kazi. Warsha hiyo iliyoandaliwa na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, imeanza leo Aprili 21, 2024 katika Chuo cha Uongozi cha Mwalimu Julius…

Read More

Mbunge kujenga ofisi za CCM za Sh150 milioni

Bukoba. Mbunge wa Bukoba Vijijini (CCM), Jasson Rweikiza amejitolea kujenga ofisi za Chama cha Mapinduzi (CCM) Bukoba Vijijini kwa gharama ya Sh150 milioni. Taarifa ya ujenzi wa ofisi hizo zilizopatikana wilayani humo, zimethibitishwa na mbunge huyo leo Aprili 21, 2024 wakati akizungumza na Mwananchi Digital kuhusu maendeleo ya mradi huo na ulipofikia hadi sasa. “Ni…

Read More

Eti tusiwachape watoto wakikosea, tuwafanyeje?

Dar es Salaam. Mwaka jana nilipata bahati ya kutembelea sehemu zaidi ya tatu ambazo wazazi na walezi hawaruhusiwi kupiga watoto wao viboko. Na ninaposema hawaruhusiwi namaanisha hawaruhusiwi kwelikweli, sio ile ya tangazo tu, kwamba inakuja serikali au uongozi unatangaza kuwa hauruhisiwi kumchapa viboko mtoto, kisha wakimaliza kutangaza na kuondoka huku nyuma wazazi wanaweza kuendelea kuwacharaza…

Read More

Madhara kuyapa kisogo malezi ya mtoto wa kiume

Dar es Salaam. Uwezeshwaji katika nyanja na fursa mbalimbali kwa watoto wa kike umeshuhudiwa kwa kiasi kikubwa katika zama hizi ambapo kuna namna mtoto wa kiume anasahaulika, wadau mbalimbali wameibuka wakitaja athari zake, huku wakitaka mtoto wa kiume pia akumbukwe na kuwekewa nguvu kama ilivyo kwa mtoto wa kike. Hata hivyo, katika maisha, hususan Afrika…

Read More

Watu 50 pekee kushiriki mazishi ya CDF Ogolla

Kenya. Watu 50 pekee watashiriki kumzika aliyekuwa Mkuu wa majeshi ya Kenya, Jenerali Francis Ogolla, tovuti ya Nation nchini humo imeripoti. Miongoni mwa watu hao atakuwemo Rais wa Kenya, William Ruto, maofisa wa ngazi za juu wa jeshi, maofisa waandamizi wa Serikali na wanafamilia. Hata, hivyo mazishi hayo yameibua gumzo kutokana na kuwa si kawaida…

Read More