
Toshiba yapata kibali cha kuzalisha vifaa umeme kukarabati kiwanda cha nishati ya jotoardhi Kenya.
· Mitambo na jenereta zenye ufanisi wa hali ya juu za Toshiba imeboresha uzalishaji wa umeme kwa asilimia 40 ikilinganishwa na miundo ya kawaida. NAIROBI. Kampuni ya Toshiba Energy Systems & Solutions Corporation (Toshiba ESS) imefanikiwa kupata kibali kutoka kwa SEPCOIII Electric Power Construction Co., Ltd. kwa ajili ya mitambo ya mvuke na jenereta na…