
Wataalamu wa maabara wapaza sauti Zanzibar
Unguja. Utaratibu ulioanzishwa na Serikali wa kuendesha huduma za maabara za afya kwa utaratibu wa ubia kupitia kampuni na mashirika binafsi kwenye hospitali, umeendelea kuibua wasiwasi kwa wataalamu na wameshauri uangaliwe upya. Mfumo huo ulianza kufanya kazi mwaka 2023 ambapo katika baadhi ya hospitali za Serikali huduma za maabara zinaendeshwa na kampuni binafsi, lengo likiwa…