
Sugu arejesha fomu akitaja vipaumbele vitatu kuimarisha Chadema Kanda ya Nyasa
Mbeya. Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Nyasa, Joseph Mbilinyi maarufu ‘Sugu’ ametaja sababu zilizomvuta kuwania kiti hicho, huku akitaja vipaumbele vitatu kati ya 10 atakavyotekeleza akishinda. Sugu aliyewahi kuwa mbunge wa Mbeya Mjini anawania kiti hicho sambamba na mbunge wa zamani wa Iringa Mjini, Mchungaji Peter…