Mkuu wa Magereza acharuka wafungwa kufia gerezani

Morogoro. Kamishna Jerenali wa Magereza Tanzania, Mzee Nyamka amewataka watumishi wa jeshi hilo kutimiza wajibu wao kwa kuzingatia sheria na waache kujihusisha na matendo yanayolitia doa jeshi hilo, ikiwamo kuwapiga wafungwa ambao baadhi yao wameshapoteza maisha.  Akizungumza leo Jumapili Aprili 20, 2024 mjini Morogoro wakati akifunga mafunzo ya uongozi daraja la kwanza ngazi ya sajenti…

Read More

Mtumishi Hanang atupwa jela miaka 20 kwa wizi wa Sh3.5 milioni

Hanang’. Aliyekukuwa mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, Petro Muray amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa mali ya umma.  Pamoja na adhabu hiyo, Muray ametakiwa kurejesha Sh3.5 milioni alizoisababishia hasara halmashauri hiyo. Muray aliyekuwa mkusanya mapato kwa kutumia mashine ya POS wa halmashauri hiyo,…

Read More

Mtumishi Hanang atupwa jela miaka 20 kwa wizi wa Sh3.5 mililioni

Hanang’. Aliyekukuwa mtumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Hanang’ mkoani Manyara, Petro Muray amehukumiwa kifungo cha miaka 20 jela, baada ya kupatikana na hatia ya ubadhirifu wa mali ya umma.  Pamoja na adhabu hiyo, Muray ametakiwa kurejesha Sh3.5 milioni alizoisababishia hasara halmashauri hiyo. Muray aliyekuwa mkusanya mapato kwa kutumia mashine ya POS wa halmashauri hiyo,…

Read More

Kaya saba zakosa makazi, Mto Kiwira ukiporomosha udongo

Mbeya. Maisha ya wananchi wilayani Rungwe Mkoa wa Mbeya yako hatarini, baada ya maji ya Mto Kiwira kumong’onyoa udongo na kuharibu barabara inayounganisha vijiji Kapugi na Lyenje na nyumba saba, huku nyingine 34 zikiwa hatarini.  Kutokana na hali hiyo, Mkuu wa Wilaya ya Rungwe, Jaffar Huniu amewataka wananchi wa kijiji cha Lwenje kuchukua tahadhari na…

Read More

Vita mpya bodaboda wakilia mikataba ya kinyonyaji

Dar/Mara. Biashara ya usafirishaji abiria kwa kutumia pikipiki maarufu kama bodaboda imegeuka ajira kubwa nchini ikiwa na mambo mengi ndani yake. Wapo wenye pikipiki zao wenyewe, wapo wanazikodi na kurejesha hesabu kwa tajiri (mmiliki) kila siku na wapo wenye mikataba, kwamba baada ya kurejesha fedha za mmiliki pikipiki inabaki mali yao. Utaratibu huu wa mkataba,…

Read More

Karatu wahamisha wanaoishi mabondeni | Mwananchi

Arusha. Halmashauri ya Wilaya ya Karatu mkoani Arusha imeendelea kuwahamisha wananchi wanaoishi mabondeni na kuwapeleka maeneo maalumu yaliyotengwa, ili kuepukana na athari za maafa ya mafuriko.  Jana, halmashauri hiyo ilifanya vikao vya Kamati za Maendeleo ya Kata (WDC) katika kata zote wilayani humo, ili kutambua maeneo yaliyoathirika na mvua zinzoendelea kunyesha. Akizungumza na Mwananchi Digital…

Read More

‘Fanyeni utafiti ughaibuni kujifunza mambo mapya’

Iringa. Mwenyekiti wa Chama cha Historia Tanzania na Mdhiri wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), Dk Maxmilian Chuhula amesema ipo haja kwa wasomi wa vyuo vikuu kufanya utafiti nje ya nchi, ili mbali ya kuongeza maarifa, wajifunze tabia na desturi mataifa mengine.  Amesema ni rahisi wasomi hao kuja na maandiko yatakayosaidia kuikomboa jamii…

Read More

Makada Chadema kumkabili Lema Kaskazini

Mbeya. Wakati vigogo wa Chadema Kanda za Victoria, Serengeti, Nyasa na Magharibi wakipigana vikumbo kuchukua na kurejesha fomu za kuwania uongozi, baadhi ya makada wa Kanda ya Kaskazini nao wanajipanga kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho.  Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Chadema, uchaguzi wa kanda nne utafanyika Mei mwaka huu na nafasi zinazogombewa katika uchaguzi huo…

Read More

Sababu aliyekuwa CDF Kenya kuzikwa bila jeneza

Dar es Salaam. Marehemu Francis Ogalla aliyekuwa Mkuu wa Majeshi nchini Kenya, atazikwa pasipo mwili wake kuwekwa kwenye jeneza, kaka yake mkubwa Canon Hezekiah ameeleza.  Jenerali Ogalla alifariki dunia Aprili 18, 2024 baada ya helikopta aliyokuwa akisafiria pamoja na maofisa wengine tisa wa Jeshi kuanguka. Kifo cha kiongozi huyo mkuu wa Jeshi nchini Kenya kilitangazwa…

Read More