ACB yazindua kadi ya Visa kukidhi matarajio ya wateja

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Benki ya Akiba (ACB) imezindua huduma ya kadi za VISA ambazo ni mahususi kwa kufanya miamala ya kifedha na ina uwezo wa kutumika sehemu yoyote duniani. Akizungumza wakati wa uzinduzi huo Mkurugenzi Mtendaji wa ACB, Silvest Arumasi, amesema benki inafanya maboresho makubwa ya huduma za kifedha kwa wateja wake ili…

Read More

Mfanyabiashara aliyedai kuhujumiwa na halmashauri,  achunguzwa

Arusha. Halmashauri ya Jiji la Arusha imeanza uchunguzi wa kampuni ya The Tanganyika Wilderness Camps Limited inayomilikiwa na mfanyabiashara wa utalii, Wilbard Chambulo, iliyobainika kufanya kazi nchini bila kusajiliwa kwenye mfumo wa kodi wa Tausi. Kampuni hiyo imebainika kufanya kazi za utalii hapa nchini hivi karibuni bila kusajiliwa katika mfumo wa Serikali wa Tausi, huku…

Read More

Sh900 milioni zaboresha Hospitali ya Wilaya Nachingwea

Nachingwea. Serikali imetoa Sh900 milioni kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya afya katika hospitali kongwe ya Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi. Fedha hizo zimetumika kwa ajili ya ujenzi wa maabara ya kisasa, kichomea taka ambacho kinatumia umeme na mafuta, jengo la kufulia nguo na la wagonjwa wa nje…

Read More

Sh900 milioni kuboresha Hospitali ya Wilaya Nachingwea

Nachingwea. Serikali imetoa Sh900 milioni kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya afya katika ospitali kongwe ya Wilaya ya Nachingwea mkoani Lindi ili kurahisisha utoaji wa huduma kwa wananchi. Fedha hizo zimetumika kwa ajili ya ujenzi wa maabara ya kisasa, kichomea taka ambacho kinatumia umeme na mafuta, jengo la kufulia nguo na la wagonjwa wa nje…

Read More

Mbunge ataka wanaofanya biashara na watoto watafutiwe maeneo

Dodoma. Mbunge wa Viti Maalumu Janeth  Mahawanga amehoji iwapo Serikali haioni umuhimu wa kuwatafutia maeneo wanawake wenye watoto wadogo wajasiriamali wanaofanya biashara zao pembezoni mwa barabara wakati wakisubiri kuwatengea maeneo husika. Akiuliza maswali ya nyongeza bungeni leo Ijumaa Aprili 19, 2024, Janeth pia amehoji lini Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), kitatengeneza programu mahususi kwa ajili…

Read More