
Kauli ya Serikali ulipaji fidia katika upanuzi wa barabara
Dodoma. Serikali imesema tathmini iliyofanyika nchini inaonyesha gharama kubwa ya fidia ya mali zilizomo ndani ya eneo la hifadhi ya barabara lililoongezwa la mita 7.5 kila upande, iko katika majiji na miji. Hayo yamesemwa leo Ijumaa Aprili 19, 2024 na Naibu Waziri wa Ujenzi, Godfrey Kasekenya alipokuwa akijibu swali la msingi la mbunge wa Kibaha…