DC NYAMWESE: BODABODA, BAJAJI CHANGAMKIENI MIKOPO YA HALMASHAURI
Na Mwandishi Wetu, Handeni MKUU wa Wilaya ya Handeni mkoani Tanga, Mhe. Salum Nyamwese, ametoa wito kwa waendesha bodaboda na bajaji kuchangamkia fursa ya mikopo ya asilimia 10 inayotolewa na Halmashauri ya Mji Handeni kupitia mapato ya ndani ili kujikwamua kiuchumi na kuondokana na mikataba kandamizi. Akizungumza katika mkutano na maafisa hao wa usafirishaji uliofanyika…