Wasomi wa vyuo wapewa mbinu kujipima

Iringa.  Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Afya ya Mimea na Viuatilifu, Profesa Joseph Ndunguru, amesema eneo la kwanza la muhitimu wa chuo kikuu analopaswa kujipima ni kutengeneza kitu  kitakachokuwa  suluhisho la changamoto kwenye jamii yake. Amesema swali hilo litawafanya wang’amue kama elimu waliyohitimu ina manufaa kwa jamii inayohitaji majibu ya maswali yao kutoka kwa wasomi….

Read More

Kauli ya Mwenyekiti UVCCM yawasha moto, Jaji Mutungi, Sheikh Ponda, RPC

Mwanza/Kagera. Kauli ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM (UVCCM), Faris Buruhan ya kulitaka Jeshi la Polisi kutowatafuta vijana wanaotukana viongozi mtandaoni pindi watakapokuwa wamepotezwa, imezuia mjadala baada ya watu kuanza kukumbushia waliopotea kusipojulikana. Aprili 16, 2024, akizungumza na viongozi pamoja na vijana wakati wa ziara yake katika mji mdogo wa Rulenge Ngara mkoani…

Read More

CDF wa Kenya afariki dunia katika ajali ya helkopta

Dar es Salaam. Rais wa Kenya, William Ruto amethibitisha kifo cha Mkuu wa Majeshi ya nchi hiyo (CDF), Jenerali Francis Ogolla aliyefariki dunia katika ajali ya helikopta iliyotokea leo Aprili 18, 2024 eneo la Algeyo katika Kaunti ya Marakwet. Mbali na Jenerali Ogolla, ajali hiyo iliyotokea leo saa 8.20 mchana pia imesababisha vifo vya maofisa…

Read More

Biashara Tanzania na Uturuki kufikia Sh2.58 trilioni

Dar es Salaam. Tanzania na Uturuki zimekubaliana kukuza biashara ya pamoja hadi kufikia Sh2.58 trilioni kutoka Sh890 bilioni iliyopo sasa. Wakati azma hiyo ikiwemo hiyo ikiwekwa, mikataba sita ya makubaliano kati ya nchi hizo mbili imesainiwa ambapo miongoni mwake inalenga kukuza diplomasia ya kiuchumi na elimu ya juu. Hayo yamebainishwa katika mkutano wa pamoja kati…

Read More

Ajali za helikopta zinavyomaliza vigogo Kenya

Dar es Salaam. Ajali ya helikopta imeondoa uhai wa Mkuu wa Majeshi ya Kenya Jenerali Francis Ogolla leo Aprili 18, 2024. Mbali na Jenerali Ogolla, ajali hiyo pia imepoteza maofisa tisa, huku wengine wawili wakijeruhiwa. Wengine waliofariki katika ajali hiyo ni Brigedia Swaleh Said, Kanali Duncan Keitany, Luteni Kanali David Sawe, Meja George Benson Magondu…

Read More

Asasi ya Agenda yabainisha madhara ya kemikali zilizopo kwenye Plastiki

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Tanzania ni miongoni mwa nchi zilizojiunga katika kupunguza matumizi ya plastiki kama njia mojawapo ya kutunza na kuhifadhi mazingira. Katika kutekeleza suala hilo Juni mosi mwaka 2019 Tanzania ilitangaza marufuku ya kutengeneza, kusambaza, kutumia au kutunza mifuko ya plastiki. Katazo hili lilifuatia tangazo lililotolewa na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa na Waziri wa…

Read More

Wananchi wafunguka mauaji ya mwanafunzi wakati akizikwa

Morogoro.  Maziko ya mwanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Joseph aliyeuawa juzi kwa kuchomwa kisu na mtu asiyejulikana akiwa kwenye eneo la hosteli za chuo hicho, yamefanyika katika makaburi ya Kola, Morogoro. Wakizungumza Leo Alhamisi Aprili 18, 2024 baada ya maziko hayo, baadhi ya waombolezaji wameliomba Jeshi la Polisi mkoani Morogoro  kuhakikisha linamtia mbaroni muuaji. Hajrat…

Read More

Wananchi wafunguka mauaji ya mwanafunzi wakati akizwa

Morogoro.  Maziko ya mwanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Joseph aliyeuawa juzi kwa kuchomwa kisu na mtu asiyejulikana akiwa kwenye eneo la hosteli za chuo hicho, yamefanyika katika makaburi ya Kola, Morogoro. Wakizungumza Leo Alhamisi Aprili 18, 2024 baada ya maziko hayo, baadhi ya waombolezaji wameliomba Jeshi la Polisi mkoani Morogoro  kuhakikisha linamtia mbaroni muuaji. Hajrat…

Read More