Mwanafunzi wa Chuo cha Mtakatifu Joseph kuzikwa leo
Morogoro. Mwanafunzi Hajirath Shaban aliyeuawa kwa kuchomwa kisu na watu wasiojulikana usiku wa Aprili 16 alipokuwa hosteli, anatarajia kuzikwa leo Aprili 18, 2024 kwenye makaburi ya Kola Manispaa ya Morogoro. Mwanafunzi huyo aliyekuwa akisoma Chuo cha Mtakatifu Joseph kilichopo Manispaa ya Morogoro, aliuawa baada ya kuvamiwa akiwa hosteli za chuo hicho zilizopo Mkundi, Aprili 16,…