Rais Samia kutunukiwa Udaktari wa Heshima na Chuo Kikuu cha Ankara-Uturuki
Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital Baraza la Chuo Kikuu cha Ankara ambacho ni cha pili kwa ukubwa nchini Uturuki, limeamua kwa pamoja kumtunuku Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan, Shahada ya Udaktari wa Heshima katika Uchumi kwa kutambua Uongozi wake wa kipekee ambao umeleta mageuzi makubwa ya kijamii, kisiasa na…