Makamba: Uwezo wa Migiro fursa kwa CCM

Dar es Salaam. Mbunge wa zamani wa Bumbuli mkoani Tanga, January Makamba amesema sifa na uwezo wa Katibu Mkuu mpya wa Chama cha Mapinduzi ( CCM), Dk Asha Rose Migiro zitakiwezesha chama kuendesha shughuli za kila siku. Jana Jumamosi Agosti 23,2025 wajumbe wa halmashauri Kuu ya CCM walimthibitisha Dk Migiro kuwa katibu mkuu wa chama…

Read More

Haya hapa yanayomsubiri Dk Migiro ofisi ya Katibu Mkuu

Dodoma/Dar. Wakati Chama cha Mapinduzi (CCM) kikimtangaza Balozi Dk Asha-Rose Migiro kuwa Katibu Mkuu wake mpya, wadau mbalimbali wametaja majukumu makubwa yanayomsubiri kiongozi huyo, likiwamo la kuirejesha imani ya chama hicho kwa wanachama na wananchi wasio wanachama. Miongoni mwa mambo yanayobainishwa kama kibarua kikubwa kwa Dk Migiro ni namna ya kwenda sambamba na kasi ya…

Read More

Mavunde ataka viongozi waombewe | Mwananchi

Dodoma. Waziri wa Madini, Anthony Mavunde amewataka Watanzania kuwaombea viongozi wa nchi kuelekea kwenye uchaguzi mkuu mwaka huu. ‎Uchaguzi mkuu wa kuwapata Rais, wabunge na madiwani unatarajiwa kufanyika Oktoba 29, 2025. ‎Mavunde ametoa kauli hiyo leo Jumapili Agosti 24, 2025 jijini Dodoma kwenye harambee ya kuchangia ujenzi wa Kanisa la Anglikana la Mtakatifu Petro (St….

Read More

Algeria Poised to Fulfill Its African Ambition

By Moses Ntandu Algeria is expecting to host a huge African trade fair known as the Intra-African Trade Fair (IATF, intending to shine the Africa all over the world. The fair will be of four days commencing from September 4th to 10th, where by the the Algerian capital will become the epicenter of African trade. …

Read More

DC aagiza gereza kuanzisha miradi ya kujitegemea

Maswa. Mkuu wa Wilaya ya Maswa mkoani Simiyu, Dk Vicent Naano, amelitaka Gereza la Maswa kuanzisha miradi mbalimbali ya uzalishaji mali ili liweze kujitegemea na kupunguza utegemezi kwa Serikali. Dk Naano ametoa  maagizo hayo leo Jumapili, Agosti 24,2025  kwa mkuu wa gereza hilo, Mrakibu wa Magereza, Omari Mbwambo ikiwa ni sehemu ya maadhimisho ya miaka 64…

Read More

Dk Mpango: Dhibitini ubadhirifu wa mali za umma

Arusha. Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewaagiza wenyeviti wa bodi na watendaji wakuu wa taasisi na mashirika ya umma nchini, kudhibiti upotevu na ubadhirifu wa rasilimali za umma pamoja na kuimarisha usimamizi wa mikataba ili kuunda mazingira ya ushindani. Dk Mpango ametoa maagizo hayo leo Jumapili Agosti 24, 2025, kwa niaba ya Rais Samia…

Read More

Mashirika ya Umma yatambuliwa kwa ufanisi

Arusha. Mashirika ya Umma yaliyofanya vizuri katika mwaka wa fedha 2023/24 yamekabidhiwa tuzo maalum na Ofisi ya Msajili wa Hazina katika hafla rasmi iliyofanyika kwenye Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji Wakuu wa Taasisi za Umma, kilichofunguliwa rasmi na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Philip Mpango, jijini Arusha,…

Read More