SERIKALI YABAINISHA MPANGO WA KUWASAIDIA WAJASIRIAMALI KUZALISHA BIDHAA BORA – MWANAHARAKATI MZALENDO
NAIBU Waziri wa Viwanda na Biasha, Exaud Kigahe amebainisha mpango wa Serikali katika kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora ili kupata masoko ya uhakika. Akijibu swali la msingi la Mbunge wa Viti Maalum, Ester Malleko ambaye alitaka kujua mpango wa Serikali wa kuwasaidia wajasiriamali kuzalisha bidhaa bora na kupata masoko ya uhakika. Akijibu swalin hilo, Kigahe…