
TANZANIA NA ZAMBIA ZAKUBALIANA KUENDELEA KUTATUA CHANGAMOTO ZA BIASHARA – MWANAHARAKATI MZALENDO
Serikali za Tanzania na Zambia zimefanikiwa kufuta kero nne kati ya kero 15 zilizokuwepo awali ili kurahisisha michakato ya biashara ya nchi hizo kutegemeana kibiashara. Hayo yamesemwa na Waziri wa Biashara na Maendeleo ya Viwanda wa Zanzibar, Mhe. Omar Shaaban wakati wa kikao cha pamoja cha Mawaziri wa nchi zote mbili katika sekta hiyo. RelatedPosts…