
Petroli yaadimika Zanzibar, wananchi wapaza sauti
Unguja. Zanzibar inakabiliwa na ukosefu wa mafuta ya Petroli kwa siku mbili mfululizo na kusababisha adha kwa wananchi wanaohitaji nishati hiyo. Tatizo hilo limeanza Aprili 14, 2024 hadi leo Aprili 16, 2024 vituo vingi vya kuuzia mafuta vimeshuhudiwa vikiwa na idadi ndogo ya wafanyakazi kinyume na ilivyozoeleka. Kutokana na kadhia hiyo, kumesababisha kupanga kwa gharama…