COPRA YATOA UFAFANUZI WA MWENENDO WA SOKO LA MBAAZI DUNIANI

MAMLAKA ya Udhibiti wa Nafaka na Mazao Mchanganyiko (COPRA) imetoa ufafanuzi kuhusu mwenendo wa soko la mbaazi duniani, ikieleza mafanikio na changamoto zinazolikumba zao hilo muhimu kwa wakulima wa Tanzania. Mkurugenzi Mkuu wa COPRA, Bi. Irene Mlola, amesema kuwa licha ya kushuka kwa bei ya mbaazi katika soko la kimataifa, wakulima wa Tanzania bado wananufaika…

Read More

WAZIRI KOMBO AKUTANA NA MAKAMU WA RAIS WA JICA

Mheshimiwa Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki amefanya mazungumzo na Bw. Ando Naoki, Makamu wa Rais wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) pembezoni mwa Mkutano wa Tisa wa TICAD uliofanyika jijini Yokohama. Mheshimiwa Waziri Kombo amepongeza ushirikiano wa Tanzania na Japan kupitia JICA…

Read More

Wasaini kanuni za maadili wakikumbushwa kuzingatia wajibu

Unguja. Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC), Jaji George Joseph Kazi, amezitaka pande tatu zinazohusika katika mchakato wa uchaguzi kuzingatia maelekezo ya kanuni za maadili ili kuhakikisha uchaguzi mkuu utakaofanyika Jumatano, Oktoba 29, 2025, unafanyika kwa amani, haki na mshikamano. Ametoa kauli hiyo leo Jumapili, Agosti 24, 2025, katika ofisi kuu za ZEC Maisara,…

Read More

Sura mbili waume kuwazuia wake kufanya kazi

Dodoma. Juzi nilikutana na mjadala mkali nisioutarajia maeneo ya Posta jijini Dar. Nilikuwa nikisafisha viatu katika kijiwe kimoja kinachowakutanisha watu wengi wanaopenda kujadili masuala kadhaa wakisubiri huduma hiyo. Mjadala wenyewe ulianzishwa na mzee mmoja, mtumishi wa umma, anayeonekana kukaribia kustaafu. Mzee alimlalamikia mkwe wake kwa kumnyanyasa mwanawe. …

Read More

Samia amjengea nyumba Bibi Catherine na wajukuu zake sita

Bukoba. Serikali imemkabidhi nyumba mpya Catherine Nathahiel pamoja na wajukuu zake sita, baada ya kupoteza makazi yao kufuatia mafuriko yaliyoikumba Manispaa ya Bukoba, Mei 10, 2024. Nyumba hiyo imejengwa kwa maagizo ya Rais Samia Suluhu Hassan kama sehemu ya ahadi yake ya kuwasaidia waathirika wa maafa hayo. Mafuriko hayo yaliyosababishwa na mvua kubwa zilizonyesha kwa…

Read More