Waziri asimulia alivyosaidiwa kusomeshwa na Sokoine

Arusha. “Siku zote nimekuwa nikiamini huyu baba mzalendo wa kweli amekuwa na dhamana kubwa katika maisha yangu, naona Mungu alimtuma ninyanyuke katika familia yetu ya watoto saba,  hakuna mwingine aliyeenda shule zaidi yangu.” Ni nadra kwa kiongozi ambaye amepata mafanikio ya kielimu, kiuchumi na kisiasa kuelezea mapito aliyopitia, lakini si kwa Naibu Waziri wa Madini,…

Read More

Mbowe, Lissu watakavyoongoza maandamano ya amani Chadema

Dar es Salaam. Ikiwa zimepita siku 54 baada ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), kufanya maandamano ya amani katika mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza, Mbeya na Arusha, imeandaa mengine ya nchi nzima. Mwenyekiti wa chama hicho, Freeman Mbowe na Makamu Mwenyekiti -Bara, Tundu Lissu watashiriki maandamano hayo na ratiba imetolewa ikieleza namna watakavyoyaongoza….

Read More

Ubaruku, Mbarali wafurika kumlaki Dk. Nchimbi

Na Mwandishi Wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel Nchimbi amepokelewa kwa shangwe na nderemo na wananchi wa Mbarali, wakiongozwa na vijana waendesha bodaboda, baada ya kuwasili na msafara wake katika Kata ya Ubaruku, Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya, leo Aprili 18, 2024, akitokea Mbeya Mjini. Dk Nchimbi alisimama kuwasalimia wananchi…

Read More

Galaxy AI Now Supports More Languages with Latest Update – MWANAHARAKATI MZALENDO

    Samsung Electronics Co., Ltd. today announced the upcoming expansion of three new languages for Galaxy AI: Arabic, Indonesian, and Russian, as well as three new dialects: Australian English, Cantonese, and Quebec French. In addition to the 13 languages[1] already available, Samsung empowers even more Galaxy users around the world to harness the power of mobile AI. In addition to these new languages and…

Read More

Hivi ndivyo Tanzania inavyoweza kukabili athari za mafuriko

Dar es Salaam. Uwepo wa utashi wa kisiasa, matumizi ya sayansi kupewa nafasi na kubainishwa kwa maeneo hatarishi ni miongoni mwa hatua zilizopendekezwa na wanazuoni kukabiliana na athari za mafuriko Tanzania. Mapendekezo ya wanazuoni yametolewa katika kipindi ambacho maeneo mbalimbali nchini yanakabiliwa na athari za mafuriko ambayo hadi sasa yameondoa uhai wa watu takribani 58…

Read More