Dk Kigwangalla awaaga wananchi, ajipigia chapuo
Dar es Salaam. Baada ya kuhudumu kwa miaka 15 akiwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk Hamis Kigwangalla amewaaga wananchi wa Nzega akiwataka kutoa ushirikiano kwa mwakilishi wao mpya. Dk Kigwangalla ni miongoni mwa waliokuwa wabunge kwenye Bunge la 12 ambao michakato ya ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM), imewaweka kando…