
TBS YAWATAKA WAFANYABIASHARA WA VIPODOZI KUSAJILI BIDHAA ZAO KABLA HAZIJAINGIA SOKONI – MWANAHARAKATI MZALENDO
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV WAFANYABIASHARA wa bidhaa za Vipodozi nchini wametakiwa kufanya maombi ya usajili wa bidhaa hizo kabla ya kuziingiza katika soko la ndani kutoka nje ya nchi kwa lengo la kulinda usalama kwa watumiaji wa bidhaa hizo. Wito huo umetolewa Jijini Dar es Salaam leo Aprili 12,2024 na Kaimu Meneja wa…