Wananchi Kyerwa Wameaswa kuwasomesha Watoto ili Kutumia Fursa za Michezo
“Uwanja huu ni fursa kwa vijana wa Kyerwa, na siku moja timu kubwa za Tanzania zitakuja kucheza hapa,” alisema Nsekela kwa shauku. Aliongeza kuwa, “Hata hivyo, naomba kuwaasa wazazi kuwa michezo ni nyongeza kwa elimu na si badala yake, hivyo ni vyema kwa wazazi kuwasaidia mtoto wako kuwa bora darasani, ndipo talanta yake kiwanjani itakapokuwa…