Serikali yaombwa kusaidia familia iliyoachwa yatima
Mufindi. Baada ya vifo vya wazazi vilivyotokana na ugomvi uliohusisha wivu wa kimapenzi, familia imeiomba Serikali iwasaidie ili watoto 11 walioachwa yatima, baadhi wakiwa bado wanasoma waondokane na hali ngumu ya maisha inayowakabili. Mama wa watoto hao, Elizabeth Kihombo (46), mkazi wa Kijiji cha Ihefu, wilayani Mufindi, mkoani Iringa, aliyetuhumiwa kumuua mume wake, Philimon Lalika…