Mbio za Kasi za Playson, Fursa Yako ya Kuibuka Bingwa

MERIDIANBET kwa mara nyingine tena imeleta msisimko mpya kwenye ulimwengu wa kasino mtandaoni kupitia Playson Short Races, mashindano ya kasi yanayowapa nafasi wachezaji wote kujishindia mamilioni ya pesa taslimu kila siku. Kila usiku kuanzia saa 4:00 usiku hadi saa 8:50 usiku, kila mzunguko unaocheza kwenye sloti za Playson ni tiketi yako ya kupanda kwenye leaderboard…

Read More

ISW YAONGEZA FURSA MPYA KWA WANAOTAKA KUHUDUMIA JAMII KWA UTAALAMU

NJIA MBADALA ZA KUTATUA MIGOGORO NJE YA MAHAKAMA Akizungumza na mwandishi wa makala haya, Mhadhiri Msaidizi kutoka Chuo cha Ustawi wa Jamii, Idara ya taaluma za kazi,Asteria Mlambo amesema idara hiyo imeanzisha program mpya inayolenga kutatua migogoro kwa kutumia njia yingine tofauti na mahakama (Conflict Management and Alternative Dispute Resolution). Bi. Mlambo alisema program hiyo…

Read More

USULUHISHI NA UAMUZI RASMI KIDIJITALI

Na Mwandishi Wetu, Dodoma  Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu-Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Ridhiwani Kikwete, amezindua Mfumo  wa Kidijitali wa usimamizi wa mashauri ya usuluhishi na uamuzi unaotambulika kama “Online Case Management System” (OCMS) Leo Agosti 22,2025 jijini  Dodoma. Akizungumza wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Mifumo  ya kieletroniki na miongozo ya…

Read More

INEC YAKANUSHA MADAI YA KUUNGANISHWA MFUMO WAO NA NIDA

 :::::::: Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ya Tanzania (INEC) imekanusha madai yanayosambaa mitandaoni kwamba mfumo wake wa uchaguzi umeunganishwa na Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) na chama cha siasa.  Katika taarifa yake ya Leo Jumamosi, INEC imesema madai hayo ni ya uongo na upotoshaji, ikisisitiza kuwa mfumo wa uchaguzi nchini unatumia njia za…

Read More

DKT. SAMIA AONGOZA UTEUZI CCM

 ::::::: Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani akiongoza kikao cha Halmashuri Kuu ya CCM Taifa, ambacho kinafanya uteuzi wa mwisho wa majina ya Wanachama waliyoomba nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Jimbo na Viti Maalum leo Jumamosi Agosti 23,2025 mkoani Dodoma.

Read More

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani akiongoza kikao cha Halmashuri Kuu ya CCM Taifa

Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassani akiongoza kikao cha Halmashuri Kuu ya CCM Taifa, ambacho kinafanya uteuzi wa mwisho wa majina ya Wanachama waliyoomba nafasi za Ubunge na Ujumbe wa Baraza la Wawakilishi wa Jimbo na Viti Maalum leo Jumamosi Agosti 23,2025 mkoani Dodoma.  

Read More

CCM kuwateua wagombea ubunge, uwakilishi leo

Dar es Salaam. Halmashauri Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CCM), leo Jumamosi, Agosti 23, 2025 inakutana jijini Dodoma katika kikao cha kuteua wagombea wake wa ubunge na uwakilishi katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2025. Kikao hicho kinachoongozwa na Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Samia Suluhu Hassan kinahitimisha michakato mirefu iliyoanza Juni 28, 2025 kwa shughuli…

Read More

Watiania ubunge, uwakilishi Chaumma kujulikana kesho

Arusha. Zikiwa zimesalia siku nne kwa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kufanya uteuzi wa watiania wa nafasi za urais, ubunge na udiwani, Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) kinatarajia kupitisha majina ya wagombea wake kesho, Agosti 24, 2025, baada ya kikao chake kilichoanza leo. Vyama vya siasa nchini vinaendelea na mchakamchaka wa kuwateua…

Read More

Wasichana milioni mbili wanufaika na elimu ya stadi za maisha

‎Dodoma. Takribani wasichana milioni mbili wanaosoma elimu ya sekondari wamenufaika na mradi wa kuwawezesha kumaliza elimu yao bila vizuizi baada ya kupata elimu ya stadi za maisha iliyowawezesha kufikiria kabla ya kufanya uamuzi. ‎Aidha, elimu hiyo imesaidia wasichana wanaosoma sekondari kutoka mikoa ya Morogoro, Tanga, Pwani na Dar es salaam kupunguza utoro kutoka asilimia saba…

Read More