BALOZI DKT NCHIMBI AZUNGUMZA NA MAKATIBU UWT

::::::: Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dkt. Emmanuel John Nchimbi, akizungumza na Wenyeviti na Makatibu wa Mikoa na Wilaya wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT) wanaoudhuria mafunzo ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya Uchaguzi Mkuu utakaofanyika Oktoba mwaka huu, yaliyofanyika leo Ijumaa tarehe 22 Oktoba 2025, katika Ukumbi…

Read More

DKT. BITEKO ATAKA WATUMISHI WIZARA YA NISHATI NA TAASISI ZAKE KUWA MFANO WA MATUMIZI NISHATI SAFI YA KUPIKIA

:::::: Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amewataka watumishi katika Wizara ya Nishati na Taasisi zilizochini ya wizara hiyo kuwa mfano katika matumizi ya  Nishati Safi ya kupikia ili kuitekeleza kwa vitendo ajenda iliyoasisiswa na Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan  inayolenga kuhamasisha matumizi ya nishati safi na salama kwa afya…

Read More