Majaliwa ataka mikakati iendane na mabadiliko teknolojia
Dar es Salaam. Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amevisihi vyama vya wafanyakazi barani Afrika, kuweka mikakati ya kukabiliana na mabadiliko ya teknolojia duniani. Amesema kwa kufanya hivyo kutawawezesha kupunguza hatari ya kupoteza ajira kutokana na ujio wa mashine na matumizi ya teknolojia mpya ikiwemo za akili unde. Majaliwa ameyasema hayo jijini Dar es Salaam leo Ijumaa,…