
Gombo amwaga sera Shinyanga amtaja Mpina, Lisu
Shinyanga. Mgombea urais kupitia Chama cha Wananchi (CUF), Gombo Samandito Gombo, ameahidi kufuta gharama za matibabu, elimu hadi chuo kikuu, pamoja na mikopo ya watumishi wa umma mara tu atakapochaguliwa kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Akizungumza leo, Septemba 4, 2025, wakati wa kampeni za kuomba kura kwa wananchi zilizofanyika katika Stendi ya…