MKUTANO WA TISA WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI TICAD WAHITIMISHWA JIJINI YOKOHAMA

 :::::::::  Mkutano wa Tisa wa Wakuu wa Nchi na Serikali wa Kimataifa wa Tokyo kuhusu Maendeleo ya Afrika (Tokyo International Conference on African Development) umehitimishwa jijini Yokohama, Japan, tarehe 22 Agosti 2025, baada ya siku tatu za majadiliano yaliyoendeshwa chini ya kaulimbiu ya “Kuibua Uvumbuzi wa Pamoja na Afrika.” Mkutano huo ulifungwa rasmi na Waziri…

Read More

Wadau: Nishati safi iendane na ubora vifaa vinavyotumika

Dar es Salaam. Wakati nchi ikielekea kwenye matumizi ya nishati safi ya kupikia, wadau wameshauri Shirika la Viwango Tanzania (TBS) liwe na mfumo maalumu wa ukaguzi, ili kubaini vifaa vya kielektroniki vya kupikia visivyo na ubora. Wito huo umefuatia malalamiko kadhaa kutoka kwa watumiaji ambao walipata changamoto ya vifaa hivyo kuharibika mapema, kutokana na kukosa…

Read More

Wadau wakutana kitathmini lishe | Mwananchi

Morogoro. Tathmini ya mapambano dhidi ya udumavu na upungufu wa lishe bora hasa kwa watoto chini ya miaka mitano na wajawazito, imebaini uwepo wa changamoto kadhaa ikiwamo uelewa mdogo wa wazazi na walezi. Hayo yamebainika katika kikao cha viongozi wa Halmashauri ya Mji wa Ifakara, wataalamu kutoka sekta mbalimbali pamoja na wadau wa lishe kuhusu…

Read More