OFISI YA MAKAMU WA RAIS YAAANDAA KONGAMANO LA UCHUMI WA BULU
……………. Ofisi ya Makamu wa Rais kwa kushirikiana na Chuo cha Bahari Dar es Salaam (DMI) imeandaa kongamano la kitaifa la uchumi wa buluu ili kuwaleta pamoja wadau kujadili dira ya sekta hiyo. Kongamano hilo litafanyika jijini Dar es Salaam Septemba 10 hadi 11, 2025 na kuwashirikisha washiriki zaidi ya 250 kutoka sekta za uchumi…