
Rotary yatakiwa kugusa maisha, kujielekeza vijijini
Dar es Salaam. Uongozi na wanachama wa Klabu ya Rotary Club ya Bahari Dar es Salaam wametakiwa kupanua wigo wa huduma zao ili kuwafikia watu wengi zaidi katika sekta mbalimbali nchini. Wito huo umetolewa na Gavana Mkuu wa Rotary anayesimamia Tanzania na Uganda, Christine Kyeyune Kawooya, katika mkutano maalumu na wanachama wa klabu hiyo ambao…