
Hatari iliyopo watumiaji ‘system charge’ za simu
Shinyanga. Kwa mujibu wa ripoti ya hivi karibuni kuhusu ulinzi wa taarifa binafsi duniani, takribani nchi 144 zimepitisha sheria zinazolenga kulinda data binafsi za raia wao. Sheria hizi zinawahusu watu takribani bilioni 6.64, sawa na asilimia 82 ya watu wote duniani. Hii ina maana kuwa karibu asilimia 83 ya watu duniani wapo chini ya sheria…