TAWA YAPONGEZWA KWA JITIHADA ZA KUDHIBITI WANYAMAPORI WAKALI NA WAHARIBIFU UKEREWE
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe Bw. Joshua Bituri Manumbu ameipongeza Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA kwa jitihada endelevu za kuelimisha jamii namna ya kuepuka madhara yanayoweza kusababishwa na wanyamapori wakali na waharibifu hususani mamba na viboko na kuwadhibiti pale wanapoonekana kuhatarisha maisha ya wananchi. Pongezi hizo zimetolewa…