Simbachawene: Matumizi ya e-office serikalini ni lazima
Iringa. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene amewataka wakuu wa taasisi zote za umma kutumia Mfumo wa Ofisi Mtandao (e-office) katika utendaji kazi na kuachana na matumizi makubwa ya karatasi katika utunzaji wa kumbukumbu na nyaraka. Wito huo umetolewa jana Alhamisi Mei 9, 2024 wakati…