Idriss Deby Itno ashinda uchaguzi Chad – DW – 10.05.2024
Matokeo hayo yamepingwa na mpinzani wake mkuu Succes Masra. Matokeo hayo yaliyokuwa yanatarajiwa Mei 21, yametolewa wiki moja mapema, na yamemuonesha Deby Itno akiwa na asilimia 61 ya kura huku Masra akipata asilimia 18.5 ya kura hizo. Kumesikika milio ya risasi N’djamena baada ya matokeo hayo kutangazwa. Chad ilifanya uchaguzi wake baada ya kucheleweshwa kwa…