CCM yatoa msimamo mikopo kwa wanafunzi elimu ya juu
Dar es Salaam. Chama cha Mapinduzi (CCM) kimesema maoni ya baadhi ya watu juu ya kuondolewa kwa fedha za kujikimu (boom) kwa wanafunzi wa elimu ya juu hayatazingatiwa, kwani hakuna haja ya kumpangia matumizi ya fedha mtu mzima. Kauli ya CCM imetolewa leo Mei 9, 2024 ikiwa ni siku mbili baada ya mbunge wa chama…