Kimbunga Hidaya chaua 5, kaya 7,027 zikikosa makazi
SERIKALI imetoa tathmini ya athari za kimbunga Hidaya, kilichotokea tarehe 3 Mei 2024, ikisema wananchi wa wilaya kadhaa zilizoko katika Pwani ya Bahari ya Hindi, waliathirika zaidi. Anaripoti Regina Mkonde, Dar es Salaam…(endelea). Tathmini hiyo imetolewa leo tarehe 9 Mei 2024, bungeni jijini Dodoma na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, aliyetaja wilaya zilizoathirika zaidi ikiwemo Mafia,…