SERIKALI KUJENGA KITUO CHA KUPOZA UMEME NA SWITCHING STATION SONGWE- MHE. KAPINGA
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga amesema Serikali inaendelea na utekelezaji wa miradi mbalimbali ya umeme itakayoboresha upatikanaji umeme mkoani Songwe ikiwemo ujenzi wa kituo cha umeme na switching station . Naibu Waziri Kapinga amesema hayo tarehe 8 Mei, 2024 bungeni jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge Mbozi, Mhe. George Mwenisongole aliyetaka kufahamu…