Tughe wapongeza likizo ya uzazi kina mama wanaojifungua njiti
Dar es Salaam. Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na Afya (Tughe), kimesema hatua ya Serikali kuongeza muda wa likizo kwa waliojifungua watoto njiti itawezesha wanawake kupata muda wa kutosha wa kuhudumia watoto hao. Wiki iliyopita katika kilele cha maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei mosi), Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango alisema likizo…