WAKAGUZI MAHESABU YA NDANI WASAINI MAKUBALIANO KUKUZA VIPAJI UDSM
Rais wa Taasisi ya Wakaguzi wa Ndani Tanzania (IIA), Dk. Zelia Njeza (kulia) pamoja na Rais wa Jumuiya ya Wanafunzi wanaosomea masomo ya Ukaguzi wa Ndani UDSM, IAA, Bi. Daines Mbao wakipongezana mara baada ya kusaini hati za makubaliano ya kuchochea vipaji vya wanafunzi wanaosomea masomo ya Ukaguzi wa Ndani UDSM na vyuo…