Serikali kuboresha kifuta jasho kwa wanaoathiriwa na wanyama wakali
Dodoma. Wizara ya Maliasili na Utalii nchini Tanzania inafanya mashauriano na Wizara ya Fedha itakayowezesha kuanza kulipwa kwa kifuta jacho kipya kwa watu wanaopata athari za wanyamapori wakali na waharibifu. Viwango hivyo vinakuja baada ya malalamiko ya muda mrefu ya wananchi na wabunge kwamba vilikuwa vidogo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii,…