SERIKALI YAPANGA MKAKATI WA TAIFA MATUMIZI YA NISHATI SAFI YA KUPIKIA 2024/34
Serikali imesema Mkakati wa Taifa wa Matumizi ya Nishati safi ya Kupikia wa Mwaka 2024 – 2034 kwa kiasi kikubwa utasaidia kupungua kwa vitendo vya ukataji wa miti kwa kupunguza matumizi ya nishati itokanayo na misitu. Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Khamis Hamza Khamis ameliarifu Bunge wakati akijibu swali…