Wajitokeza kuongeza nguvu matumizi gesi asilia
Dar es Salaam. Katika jitihada za kuongeza matumizi ya nishati safi katika shughuli mbalimbali, wadau mazingira wamekuja na njia tofauti za kuhakikisha watu wanahama katika utegemezi wa nishati walizozizoea. Miongoni mwa hatua za hivi karibuni ni kuwa na matumizi ya gesi asilia (CNG) na umeme katika vyombo vya moto ambavyo awali vilikuwa vikitumia nishati ya…