Mtaalamu aeleza sababu nyani kuvamia makazi ya watu Rombo, Moshi
Moshi. Wakati wilaya za Rombo na Moshi mkoani Kilimanjaro zikikabiliwa na wimbi la uvamizi wa nyani kwenye mashamba na makazi ya watu, wataalamu wa wanyamapori wamesema ongezeko hilo linatokana na sababu za kibinadamu. Hivi karibuni, wanaume wanaoishi pembezoni mwa Mto Mlembea, wilaya ya Rombo, walilalamika kwenye mkutano wa hadhara wa Mbunge wa Rombo (CCM), Profesa…