JKT YAACHANA NA KUNI SASA NI MATUMIZI YA GESI

Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua jiko la gesi katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Na Alex Sonna-KASULU VIJIJINI JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limeanza kutekeleza agizo la Serikali la matumizi ya nishati…

Read More

AGIZO LA SERIKALI LATEKELEZWA NA  JKT

Mkuu wa Tawi la Utawala JKT na Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akiondoa kitambaa tayari kuzindua  jiko la gesi katika Kikosi 825 KJ Mtabila, wilayani Kasulu, Mkoa wa Kigoma. Na Alex Sonna-KASULU VIJIJINI JESHI la Kujenga Taifa (JKT) limeanza kutekeleza agizo la Serikali la matumizi ya nishati…

Read More

JKT waanza safari matumizi nishati safi ya kupikia

Kigoma. Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) kwa kushirikiana na Wakala wa Nishati Vijijini (Rea), limeianza rasmi safari ya matumizi ya nishati safi ya kupikia, kwa kufanya tathmini ya miundombinu ya majiko ya vikosi vyake ili kuyabadilishia matumizi kutoka kuni kwenda kwenye nishati safi. Aprili 12, mwaka jana Waziri katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano…

Read More

Ujenzi wa nyumba Hanang wafikia asilimia 40

Arusha. Wakati ujenzi wa nyumba za waathirika wa mafuriko ya Hanang ukipiga hatua kufikia asilimia 40, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk Jim Yonazi amesisitiza uwekwaji wa anwani za makazi katika eneo linalojengwa nyumba 108 za waathirika hao. Ujenzi wa nyumba hizo unakuja baada ya wakazi wa eneo hilo…

Read More

Wafanyabiashara Coco Beach waeleza magumu ya kimbunga Hidaya

Dar es Salaam. Wafanyabiashara wanaofanya shughuli zao eneo la Coco  Beach wameeleza magumu ya  kimbunga Hidaya kilivyodhoofisha biashara zao baada ya wateja kupungua. Biashara zao hazikuwa zikienda sawa kama kawaida kwa sababu ule utamaduni wa watu kwenda kwenye fukwe hizo kupunga hewa haukuwepo kwa siku mbili zilizopita. Kwa kawaida wananchi wanaokwenda kupunga hewa ni miongoni…

Read More

CCM ITAENDELEA KUWA MTETEZI NA MWANGALIZI WA WANANCHI WOTE – DIMWA

NA IS-HAKA OMAR,ZANZIBAR. NAIBU Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar Dkt.Mohamed Said Dimwa amesema Chama hicho kitaendelea kuwa mtetezi na mwangalizi wa Wananchi wote. Kauli hiyo ameitoa wakati akizungumza na kada wa CCM ambaye ni Mkurugenzi mstaafu idara ya umwagiliaji Wizara ya Kilimo Zanzibar Dkt.Ramadhan Aseid Ramadhan huko nyumbani kwake Fuoni. Dkt.Dimwa,amesema lengo…

Read More

Kimbunga Hidaya sio kitisho tena kwa Tanzania. – DW – 05.05.2024

Serikali ya Tanzania imesema kimbunga hidaya kilichopiga katika pwani ya Afrika Mashariki kimeshapoteza nguvu na sio kitisho tena kwa nchi hiyo. Hata hivyo maafisa wameutaka umma kuendelea kuwa na tahadhari kwasababu kimbunga hicho kimesababisha mvua kubwa na upepo mkali,hali itakayoendelea siku nzima ya Jumapili.  Maeneo mengi ya Tanzania Jumamosi yalikosa umeme huku mvua kubwa ikinyesha…

Read More

MBETO AWASIHI WANANCHI ZANZIBAR KUFUATA MAELEKEZO YA MAMLAKA YA HALI HEWA TANZANIA

KATIBU wa Kamati Maalum ya NEC,Idara ya Itikadi,Uenezi na Mafunzo Zanzibar Khamis Mbeto Khamis, amewasihi Wananchi kisiwani Zanzibar kufuata maelekezo ya kuchukua tahadhari juu ya kimbunga cha ‘’Hidaya’’ yaliyotolewa na Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA). Hayo ameyasema katika mahojiano maalum ambapo ameeleza kuwa kila mwananchi hasa wanaofanya kazi za uvuvi,wanaotumia boti kusafiri bila…

Read More

TANROADS RUVUMA YAFANYA UKARABATI MKUBWA WA MIUNDOMBINU KATIKA DARAJA LA MUHUWESI WILAYANI TUNDURU

Na Mwandishi Maalum Ruvuma WAKALA wa barabara Tanzania(TANROADS)Mkoa wa Ruvuma,imekamilisha kazi ya kuimarisha daraja la mto Muhuwesi wilayani Tunduru ambalo liliathirika na mvua za masika na kusababisha taaruki kwa watumiaji wa daraja hilo. Meneja wa TANROADS Mkoa wa Ruvuma Saleh Juma alisema,kwa sasa daraja hilo ni salama na haliwezi kusogea tena kama ilivyotokea hapo awali,…

Read More

SERIKALI YATOA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 300 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA ELIMU SHULE YA MSINGI TUNDURU MCHANGANYIKO

Na Mwandishi maalum,Tunduru. SERIKALI imetoa kiasi cha Sh.milioni 302 ili kuboresha mazingira na miundombinu ya kufundishia na kujifunzia kwa wanafunzi na walimu katika shule ya msingi Tunduru Mchanganyiko wilaya ya Tunduru mkoani Ruvuma. Mwalimu Mkuu wa shule hiyo Sabina Lupukila amesema,kati ya fedha hizo Sh.milioni 246 zimetoka serikali kuu na Sh.milioni 56 zimetolewa na Halmashauri…

Read More