Gaza bado inakabiliwa na kitisho cha njaa – DW – 03.05.2024
Muwakilishi wa Shirika la Afya Duniani katika maeneo ya Palestina Rik Peeperkorn amesema kuwa chakula zaidi kimewasili katika Ukanda wa Gaza katika wiki za hivi karibuni, lakini akaonya kwamba kitisho cha njaa bado hakijatoweka. Peeperkorn ameongeza kwamba ukilinganisha na miezi michache iliyopita, ni wazi kwamba kwa sasa kunapatikana katika masoko ya Gaza, bidhaa muhimu za…