NBC yazindua huduma maalum kwa wastaafu

Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) imezindua huduma maalum kwa ajili ya wastaafu inayofahamika kama “Akaunti ya Wastaafu” ama “Pensioners account” ikilenga kutoa huduma za kibenki zenye kutoa vipaumbele kwa kundi hilo la kijamii. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Kupitia huduma hiyo iliyozinduliwa mapema leo Ijumaa jijini Dar es Salaam pamoja na faida nyingine  inatoa…

Read More

DPP aondoa rufaa ya mwisho dhidi ya Sabaya, wenzake watano

Arusha. Mkurugenzi wa Mashtaka nchini (DPP) amewasilisha katika Mahakama Kuu ya Tanzania masijala ya Arusha, nia ya kutoendelea na dhidi ya aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai, Lengai Ole Sabaya na wenzake watano. Kufuatia nia hiyo, Mahakama hiyo imeridhia na kuiondoa rufaa hiyo ya jinai namba155/2022. Mbali na Sabaya, wengine ambao rufaa dhidi yao imeondolewa…

Read More

CHIKOTA ASHAURI MAMBO MATANO KWENYE ZAO LA KOROSHO

Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota,akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya Wizara hiyo kwa Mwaka 2024/25 bungeni jijini Dodoma. Na Mwandishi Wetu, DODOMA Mbunge wa Nanyamba (CCM), Abdallah Chikota amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan namna anavyothamini sekta ya kilimo na dhamira ya kuwakomboa wakulima kwa kuongeza bajeti ya Wizara ya Kilimo kutoka Sh.Bilioni 900…

Read More

Waziri Gwajima kukabidhi nyumba kwa mjane aliyefukuzwa baada ya kugoma kurithiwa.

Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na wenye Mahitaji Maalum, Doroth Gwajima anatarajia kukabidhi nyumba kwa mjane Judith Innocent Luhumbika, aliyekuwa akipitia manyanyaso kutoka Kwa familia ya ndugu wa mumewe, ikiwemo kufukuzwa nyumbani kwake kufuatia kugoma kurithiwa mara baada ya mumewe kufariki. Akizungumza katika nyumba hiyo yenye thamani ya zaidi ya milioni 50, aliyojengewa…

Read More

NMB yazindua akaunti ya Kikundi

Benki ya NMB imezindua akaunti ya kikundi yenye  maboresho makubwa kwa wanakikundi wote kufurahia huduma kidijitali. Anaripoti Mwandishi Wetu … (endelea). Uzinduzi huo umefanyika leo Ijumaa mbele ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum, Dk. Dorothy Gwajima na kuhudhuriwa na wanavikundi zaidi ya 400. Akizungumzia akaunti hiyo Afisa Mtendaji Mkuu, Ruth…

Read More

Wanajeshi wa Urusi waingia kwenye kambi ya Marekani ya Niger – DW – 03.05.2024

Tuelekee huko nchini Niger ambako inaripotiwa kuwa wanajeshi wa Urusi wameingia kwenye kambi ya jeshi la anga inayokaliwa na wanajeshi wa Marekani, haya yanajiri baada ya serikali ya kijeshi ya Niger kuamua kuwatimua wanajeshi wa Marekani katika taifa hilo la Afrika Magharibi. Soma zaidi. Mamia waandamana Niger kushinikiza kuondoka kwa vikosi vya Marekani Kwa muda mrefu…

Read More