JKT MKOMBOZI WA WANANCHI MBEGU ZA KISASA ZA MCHIKICHI MKOANI KIGOMA
Mwenyekiti wa Kamati ya Kimkakati ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi ya Jeshi la Kujenga Taifa (JKT) Brigedia Jenerali Hassan Mabena,akizungumza wakati wa ziara yake ya kukagua mradi wa kilimo cha mchikichi katika Kikosi cha 821 KJ Bulombora mkoani Kigoma. Na.Alex Sonna-KIGOMA Zaidi ya wananchi 300,000 wamenufaika na mbegu za kisasa za mchikichi zinazozalishwa na Jeshi…