200 wapimwa afya na GGML katika maonesho ya OSHA

Na Mwandishi Wetu, Arusha ZAIDI ya watu 200 jijini Arusha wamejitokeza kupimwa afya na Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na kati yao kubainika kuwa wana tatizo la uzito uliopitiliza. Pia kati ya watu hao hakuna aliyebainika kuwa na maambukizi ya Virusi Vya Ukimwi (VVU), lakini mmoja amekutwa na dalili zote za kifua kifuu…

Read More

BALOZI MBAROUK AFUNGUA MKUTANO WA NNE WA BARAZA LA WAFANYAKAZI LA WIZARA

NaibuWaziri wa Mambo na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi MbaroukNassor Mbarouk (Mb) akifungua Mkutano wa Nne wa Baraza la Wafanyakazi laWizara lililofanyika katika Ukumbi wa Kituo cha Mikutano cha Kimataifacha Arusha (AICC) tarehe 02 Mei, 2024 ……………… Naibu Waziri Mambo ya Nje naUshirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Mbarouk Nassor Mbarouk amefungua Mkutanowa Nne wa Baraza…

Read More

Lissu: Fedha zimemwagwa kuvuruga uchaguzi Chadema

Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu ameonya matumizi ya fedha katika chaguzi za ndani ya chama hicho, akiwataka wanachama kuwa makini na fedha alizodai “zimemwagwa kuvuruga uchaguzi huo.” Lissu pia amesema kuna ugomvi mkubwa katika Kanda ya Nyasa kutokana na uchaguzi wa ndani wa chama hicho, hivyo amewaonya wanachama wa chama hicho…

Read More

Neema kwa wagonjwa wa saratani

Dar es Salaam. Hospitali ya Aga Khan imezindua kituo cha matibabu ya saratani chenye hadhi ya kimataifa (CCC), kitakachotoa huduma kwa wagonjwa wa hospitali hiyo na Taasisi ya Saratani ya Ocean Road (ORCI) kilichogharimu Sh29.9 bilioni. Saratani inazidi kukua nchini, huku takwimu zikionyesha wagonjwa wapya 40,000 hugundulika, huku 27,000 wakifariki kwa saratani kila mwaka. Hata…

Read More