Serikali yaanza msako wanaotoa mikopo kausha damu
SERIKALI imeanza kufuatilia watu, vikundi na taasisi zinazotoa kinyume cha sheria mikopo yenye masharti magumu na riba kubwa maarufu kama kausha damu, kwa ajili ya kuwachukulia hatua za kisheria. Anaripoti Mwandishi Wetu, Dodoma…(endelea). Akizungumza bungeni jijini Dodoma, leo tarehe 2 Mei 2024, Waziri wa Fedha, Dk. Mwigulu Nchemba, amesema Serikali inachukua hatua hiyo ili kuwalinda…